IJUMAA WIKIENDA Report - XXL Teen extra Awards inazidi kuleta mzozo, categories ni nyingi na kila moja inavutia ila kuna moja ipo interesting kwa namna yake, hii ni Music Website of the Year ambayo imepewa herufi D.
Katika category hiyo, vichwa kadhaa vimesimamishwa, DJ Choka (D2), Bongo5 (D3), DJ Fetty (D4), Babkubwa (D5) na G5 Click (D1). Kwa kuichambua category hiyo, this day tunao G5.
Huu ni mtandao unaoundwa na vijana wadogo wane ambao wote wanagonga
shule pande za UG ndani ya Kampala International University na NCC
Learn IT.
Madogo wanaounda G5 ni Mustapha Suleiman, Ombeni Phiri, Desy Ernest na Nelson Kisanga
ambao kupitia ubunifu wao, wameweza kuitengeneza G5click.com
ambayo itavuma anga za kimataifa kiasi cha wengine
kuifananisha na Facebook.
Usipime! G5 Click limeleta mapinduzi kwa kasi yake ya kupasha habari za
burudani kwa wakati kupitia mtandaoni. Ndude zinazoifanya site hiyo
ivutie ni kama kuwepo kwa ngoma mpya na kali on time, mashabiki
kuwasiliana na kuchati, kupata historia za wasanii, pia kujionea video
na picha za matukio mbalimbali.
Akigonga matamshi kwa niaba ya wenzake, Mustapha alisema nasi wikiendi iliyopita kuwa wapo serious ndiyo maana wanagonga mambo
makubwa na akaongeza: “Hivi sasa tunajipanga kwa ajili ya kutambulisha
njia mpya ya kutangaza, kusambaza na kuuza kazi za wasanii ili
waondokane na kilio plus lawama kwa mdosi.” Jinsi ya kupiga kura kwenye
category hiyo, unaandika SMS yenye neno TN unaacha nafasi ikifuatiwa
na namba yake ya utambulisho (code) halafu unatuma kwenda 15551.
Unaikubali G5? Gonga SMS yenye maandishi, TN D1 halafu unaitupa kwenda
namba 15551. Pia unaweza kutembelea Nipe5.com
ili uweze kupiga kura kwa internet.

XXL Teen extra Awards inazidi kuleta mzozo, categories ni nyingi na kila
moja inavutia ila kuna moja ipo interesting kwa namna yake, hii ni
Music Website of the Year ambayo imepewa herufi D.
Katika category hiyo, vichwa kadhaa vimesimamishwa, DJ Choka (D2), Bongo5 (D3), DJ Fetty (D4), Babkubwa (D5)
na G5 Click (D1). Kwa kuichambua category hiyo, this day tunao G5.

Leave a Reply